KARIBU! WELCOME!

Feel free to surf!!! Jiskie huru!!!

Wednesday, February 9, 2011

Mr. NICE AOKOKA... UNASUBIRI NINI!!!!

mrnice

Aliyekua muimbaji wa Dansi nchini Lucas Mkenda au Mr. NICE kama anavyojulikana na wengi amempa Yesu maisha yake tangu mwezi wa nane mwaka huu. Anahudhuria ibada, maombezi na  tayari amebatizwa. Chanzo cha habari kinasema anaabudu Kawe kwa GeoDavie jijini Dar-es-salaam, tayari ana nyimbo nne za kusifu na kumuabudu Mungu. Amekua akitoa ushuhuda wake kwamba Mungu amemponya na kuyaokoa maisha yake.

No comments: