KARIBU! WELCOME!

Feel free to surf!!! Jiskie huru!!!

Monday, January 24, 2011

SCHOOL INABAMBA MBAYA WAJAMENIII

Huna hata muda wa kusoma biblia, mchakamchaka mpk miguu inafika kisogoni mwana waneee
but hapana mbaya, niwape heart tu wale ambao this is their last semister kiukweli 2na mshukuru Mungu, tunamengi ya kujivunia, tumemshinda yule mdudu muovu shetani, tumeishi vizuri kwa amani ya kutosha, Asnte kwa wote nilioshirikiana nao kwa assignment na mengine kede kede, 
Tuzid kuwa pamoja kama tally na ledger! IN GOD WE TRUST. 

No comments: