KARIBU! WELCOME!

Feel free to surf!!! Jiskie huru!!!

Tuesday, January 25, 2011

NI MR. 11 NW AND FIVE YEARS TO COME...

( Nov 1st, 2010 - 2:25 pm saa za afrika mashariki)Joseph Mbilinyi alitangazwa mbunge mpya wa Mbeya mjini.Tume ya uchaguzi ilichelewa kutangaza matokeo rasmi mapema. Vijana karibu 20,000 waliandamana na kuvunja magari na madirisha kwa kuhofia kuibwa kura zao. Bw. Joseph amemshinda mpinzani wake wa CCM Benson Mpesya kwa zaidi ya kura 22,000.

by Simba Mapinduzi

No comments: